ocr: Bonyeza kifungu cha maneno kwenye orodha. Kisha usikilize kwa makini, Bonyeza penye picha au kifungu cha maneno usikilize tena, Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawas sawa. Bonyeza kipanya - ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.